- 189 viewsDuration: 6:20Mawakili wamekwenda debeni kuwachagua viongozi wao katika maeneo yaliyoratibiw aya kupigia kura katika kaunti zote. Katika eneo la Kisii, mawakili wanaendelea kushiriki shughuli hiyo yenye ushindani mkubwa huku wakitafuta kuweka uongozi imara utakaoweza kukabiliana na changamoto zinazokabili tasnia ya uanasheria. wanaowania urais ni Peter Wanyama, Charles Kanjama, na Mwaura Kabata.