Uchaguzi wa chama cha wafanyibiashara kaunti ya Trans Nzoia wahairishwa

  • | Citizen TV
    577 views

    Uchaguzi wa chama cha wafanyibiashara kaunti ya Trans-Nzoia, umeahirishwa kwa wiki mbili baada ya orodha mbili ya wapiga kura kuchipuka na kusababisha mkanganyiko.