Uchaguzi wa katikati ya muhula unafikia kilele leo Jumanne nchini Marekani

  • | VOA Swahili
    104 views
    Uchaguzi wa Jumanne unaadhimisha kuhitimisha kupiga kura kwa wapiga kura kujitokeza katika vituo vya kupiga kura nchini Marekani, katika uchaguzi wa katikati ya muhula wa Novemba 8, 2022. Wakati Wademokrat wakishikilia hivi sasa wingi katika bunge, lakini kama historia ni ishara, huenda chama cha Joe Biden kikapoteza darzeni ya viti. Endelea kusikiliza uchambuzi huu wa repoti maalum ya yale yanayotabiriwa kutokea katika uchaguzi huu... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.