Uchaguzi wa kidijitali wa chama cha UDA wakumbwa na matatizo

  • | TV 47
    505 views

    Uchaguzi wa kielektroniki wa chama cha uda katika kaunti tano umekumbwa na fujo, matatizo ya ukosefu wa majina kwa vifaa hivyo, kuchelewa kwa vifaa vya kielektroniki huku wagombeaji wakitaka chama tawala kuahirisha uchaguzi huo. Baadhi ya viongozi wa uda vile vile kama gavana wa nairobi jonson sakaja na mbunge wqa dagoretti kusini wakilemewa kupiga kura licha ya madai ya orodha ya kidijitali kusemekana imeingiliwa na ulaghai.

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __