Uchaguzi wa Papa mpya

  • | Citizen TV
    3,864 views

    Makadinali 133 wamekongamana katika kanisa la Sistine, mjini Vatican kwa matayarisho ya kura ya kumchagua Papa mpya atakayeongoza kanisa Katoliki duniani. Shughuli ya kumchagua mrithi wa Papa marehemu Francis inaanza kesho Jumatano. Tayari makadinali watakaoshiriki uchaguzi wamekula kiapo.