Uchaguzi wa UDA umeanza kuchelewa huko Pokot Magharibi

  • | Citizen TV
    476 views

    Uchaguzi wa mashinani chama cha UDA unapoendelea maeneo mengi katika kaunti ya Pokot magharibi, umechelewa kuanza huku wakazi wakitakiwa kudumisha amani.