Uchimbaji madini Nigeria waharibu mazingira

  • | VOA Swahili
    26 views
    Baada ya miaka mingi kulenga kwenye mafuta na gesi, mamlaka nchini Nigeria inachukua mtizamo mpya katika sekta ya uchimbaji madini kama sehemu yake ya mabadiliko ya kiuchumi. Lakini nchi inakabiliwa na uharibifu wa mazingira uliosababishwa na operesheni zamani za uchimbaji madini, na uchimbaji haramu ambao unaendelea. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.