Uchukuzi wa umma Kiambu watatizwa baada ya wenyeji kufunga barabara ya kutoka Kimbo kwenda Junction

  • | K24 Video
    61 views

    Uchukuzi wa umma katika eneo la Juja kaunti ya Kiambu ulitatizwa mapema leo, baada ya wenyeji kufunga barabara ya kutoka Kimbo kwenda Junction, kulalamimikia kuharibika kwa barabara hiyo. Wenyeji wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa kufuatia ubovu wa barabara hiyo.