Uchumi Na Biashara: Asilimia-42 ya wateja wa benki nchini watumia mbinu za kielektroniki

  • | KBC Video
    37 views

    Takriban wateja watano wa benki kati ya kumi wanathamini zaidi utekelezaji shughuli za kifedha kupitia rununu kutokana na idadi kubwa ya vijana wanaotumia huduma za benki. Kwa mujibu wa utafiti wa hivi punde kuhusu wateja wa benki uliofanywa na kampuni ya uhasibu ya KPMG, asilimia-42 ya wateja wa benki humu nchini wanatumia mbinu za kielektroniki kutekeleza shughuli zao za kifedha huku matawi ya benki yakinakili asilimia-24 na wale wanaotumia huduma za mtandao wakiwa asilimia-4. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa Magatuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive