Uchumi Na Biashara: Taarifa mseto za ghulio

  • | KBC Video
    15 views

    Ushirikiano wa karibu kati ya sekta ya kibinafsi na serikali katika kuepusha tatizo la ufadhili linalokabili wadau wa uongezaji thamani mazao ya kilimo, pamoja na kuongezwa kwa huduma za nyanjani, ni muhimu katika kuongeza uzalishaji wa chakula. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa habari za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive