- 36,068 viewsDuration: 2:56Ripoti mpya ya IMF ya mwaka 2026 imeonyesha kuwa Kenya imeshuka hadi nafasi ya saba katika orodha ya mataifa yenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika kwa kuzingatia pato la taifa (GDP). GDP ni kipimo kinachoonyesha thamani ya bidhaa na huduma zote zinazozalishwa ndani ya nchi kwa mwaka mmoja, na hutumika kupima ukubwa wa uchumi wa taifa.Na kujua mwaka jana ilikuwa nafasi ya ngapi? Mwandishi wa BBC @mariammjahid na taarifa zaidi - - #bbcswahili #Uchumi #kenya #GDP Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw