Uchungu wa mwana | Watoto 5 waliozaliwa Nakuru jana wafariki

  • | KBC Video
    27 views

    Watoto watano waliozaliwa na mama mmoja katika hospital ya Nakuru wameaga dunia. Watoto hao waliozaliwa katika kituo cha watoto cha Margaret Kenyatta katika hospitali ya Nakuru Level Five waliaga mmoja baada ya mwingine katika muda wa saa chache.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #vifo #News #watoto #Nakuru