Uchunguzi kuhusiana na kifo cha mfanyakazi waendelea

  • | Citizen TV
    2,528 views

    Uchunguzi kuhusu kifo cha mfanyikazi wa Seneta Bonny Khalwale wa Kakamega sasa utaendeshwa na maafisa kutoka makao makuu ya idara ya DCI hapa Nairobi.