Uchunguzi wa biashara ya figo Eldoret

  • | Citizen TV
    120 views

    Kamati ya afya bungeni imezuru jiji la Eldoret kuchunguza madai ya biashara haramu ya figo inayohusishwa na hospitali za Mediheal