Uchunguzi wa kifo cha Albert Ojwang'

  • | Citizen TV
    20,588 views

    Waziri wa usalama kipchumba Murkomen na inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja wanatarajiwa kufika katika kamati ya seneti kujibu maswali kuhusu kifo cha mwanablogu Albert Ochieng.