Uchunguzi wa maiti ya mtoto mchanga Kajiado wafanyika

  • | Citizen TV
    825 views

    Familia ya mtoto aliyefariki kwa Njia tatanishi muda mfupi baada ya kuzaliwa katika hospitali ya Loitokitok kaunti ya Kajiado imeeleza matumaini ya haki kutendeka baada ya mwili wa mtoto huyo kufukuliwa.