20 Feb 2026 1:16 pm | Citizen TV 1,953 views Duration: 1:40 Imebainika kijana wa umri wa miaka ishirini na minane aliyeuwawa kwenye ghasia zilizochipuka wakati wa mkutano wa kisiasa huko Kitengela, Vincent Ayomo, alipigwa risasi kwenye jicho la kushoto