Uchunguzi wa ndege iliyoanguka Tanzania unaendelea

  • | VOA Swahili
    1,305 views
    Mamlaka ya Uwanja wa Ndege Tanzania (TAA) imesema katika taarifa yake Jumanne uchunguzi wa kitaalam kuhusu chanzo cha ajali ya ndege ya Precision Air ambayo ilianguka Jumapili katika Ziwa Victoria unaendelea. Ndege hiyo ilitoa taarifa kuwa abiria 24 walinusurika kati ya 43 waliokuwa wakisafiri na ndege hiyo. Endelea kusikiliza repoti hiyo na maelezo mbalimbali kuhusu maelezo ya polisi na malalamiko ya wananchi... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.