Uchunguzi wa sakata ya fedha za NHIF

  • | K24 Video
    45 views

    Ulinzi wa fedha za umma hasa kwa ajili ya huduma ya afya ni mojawapo ya malengo muhimu ya kamati ya afya bungeni, yanayolenga kujua ukweli wa kushiriki kwa vituo vya afya katika kulaghai hazina ya bima ya NHIF. Leo, kamati hiyo imezuru hospitali ya upasuaji wa mifupa ya St.Peter's iliyoko Kiambu, ambapo uchunguzi ulifichua hospitali hiyo ilipokea zaidi ya shilingi bilioni 1 kutoka kwa NHIF kati ya 2021 na 2023, na kuifanya kuwa miongoni mwa hospitali 10 zilizofaidika zaidi na hazina hiyo