Uchunguzi wa upasuaji waonyesha Albert Ojwang alichapwa hadi akafariki sio kwa majeraha ya kujigonga

  • | NTV Video
    687 views

    Albert Ojwang alichapwa kichapo cha mbwa hadi akafariki, wala sio kwa majeraha ya kujiumiza mwenyewe kama ilivyodai Idara ya Polisi. Yamesema matokeo ya upasuaji wa maiti.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya