Uchunguzi wa vyeti na digrii fake kuhusisha sekta ya umma na ile ya kibinafsi kote nchini

  • | Citizen TV
    391 views

    Serikali pamoja na tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi sasa inasema inapanga kuanzisha msako wa kitaifa kuhusu vyeti bandia vya masomo. Msako huo utashirikisha idara mbali mbali za uchunguzi na kuwalenga wafanyakazi wa serikali na hata sekta binafsi. Mkuu wa utumishi wa umma akikiri kuwa ofisi za umma zinaongoza kwa wafanyakazi wenye vyeti bandia.