Skip to main content
Skip to main content

Uchunguzi waanza kuhusu kifo cha daktari mwanagenzi katika hoteli ya Keumbu

  • | Citizen TV
    20,779 views
    Duration: 3:55
    Maafisa wa upelelezi katika Kaunti ya Kisii wanachunguza kifo cha kutatanisha cha Hezron Macharia, daktari mwanagenzi aliyefariki dunia katika kidimbwi cha kuogelea kwenye hoteli moja eneo la Keumbu.