Skip to main content
Skip to main content

Uchunguzi waanza kuhusu kifo cha Dkt. Job Obwaka Kitengela

  • | Citizen TV
    5,248 views
    Duration: 2:45
    Uchunguzi kuhusu kifo cha ghafla cha mwanachama wa bodi ya Nairobi Hospital, Dkt. Job Obwaka, umeanza rasmi. Maafisa wa upelelezi kutoka DCI kwa ushirikiano na polisi wanafuatilia hatua zake za mwisho huko Kitengela kabla ya kifo chake. Dkt. Obwaka aliegesha gari lake katika jengo moja kabla ya kuandamana na mshukiwa ambaye ni mmiliki wa nyumba moja iliyoko mtaa wa Milimani huko Kitengela.