Uchunguzi waanzishwa kufuatia mkasa wa moto katika shule ya Hillside Endarasha Academy

  • | Citizen TV
    4,185 views

    Uchunguzi umeanzisha kufuatia mkasa wa moto katika shule ya hillside endarasha academy kaunti ya nyeri huku maafisa wa usalama wakizingira bweni lililoteketea. kamishna wa kaunti ya nyeri PIUS MURUGU amesema kuwa asasi mbalimbali zilitoa huduma za dharura kwa wakati baada ya mkasa huo kuripotiwa saa tisa alfajiri. Ni kauli iliyoungwa mkono na gavana wa nyeri ambaye ametoa rambirambi zake huku akitaka uchunguzi wa kina kufanywa.