Uchunguzi waanzishwa kuhusu mkasa wa moto wa gesi

  • | Citizen TV
    4,753 views

    Watu watatu wamefariki na wengine 280 kujeruhiwa kufuatia mlipuko wa gesi katika mtaa wa Mradi, eneo bunge la Embakasi Mashariki, kaunti ya Nairobi. Aidha, mlipuko huo uliosababishwa na lori lililokuwa limebeba Matangi ya gesi, ulisababisha uharibifu wa mali katika nyumba na kampuni zilizoko karibu na kiwanda hicho cha gesi.