Uchunguzi wabainisha kilichomuua Boniface Kariuki

  • | KBC Video
    1,659 views

    Uchunguzi wa mwili wa marehemu Boniface Mwangi uliofanywa katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta umethibitisha kuwa alifariki kutokana na jeraha kichwani lililosababishwa na risasi ya mpira. Mchunguzi wa maiti Peter Ndegwa, aliyetangaza matokeo hayo, alisema vigae vinne vya risasi vilipatikana kwenye ubongo wa Mwangi akiongeza kuwa uwezekano wake wa kuishi ulikuwa mdogo kwani alivuja damu nyingi. Haya yanajiri huku maafisa wawili wa polisi wanaohusishwa na kumpiga risasi wakiendelea kuzuiliwa kwa siku saba zaidi ili kutoa fursa ya uchunguzi kuendelea.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive