Uchunguzi wafichua Rita Waeni alinyongwa na kupigwa kwa kifaa butu kichwani

  • | K24 Video
    111 views

    Muuaji wa Rita Waeni alimpiga kwa kifaa butu kichwani na kisha kumnyonga kabla ya kuukata kata vipande mwili wa marehemu. hayo yamefichuliwa leo baada ya upasuaji wa kichwa kilichopatikana bwawani huko kiambaa kufanyika. Familia ilitambua kichwa hicho kuwa ni cha Rita Waeni.