UDA chaunga mkono azma ya Raila kuwa mwenyekiti wa AUC

  • | Citizen TV
    3,101 views

    Chama cha uda sasa kimemuidhinisha kinara wa Azimio Raila Odinga kuwania nafasi ya uwenyekiti wa tume ya muungano wa mataifa ya bara Afrika. Katibu mkuu wa chama cha Uda Cleophas Malala amesema chama hicho kimechukua hatua hiyo ya uzalendo na kumpongeza odinga kwa kuchukua hatua hiyo.