- 785 viewsDuration: 2:29Chama cha UDA kimefanya uchaguzi wawakilishi wa chama hicho katika vituo elfu tisa vya kupigia kura katika uchaguzi uliowavutia wagombea laki tano. Naibu Kinara wa chama hicho Naibu Rais Professor Kithure Kindiki amesema kwamba uchaguzi huo uliofanyika katika kaunti 18 umekuwa wa haki na muhimu kwa kuweka mizizi ya chama.Hata hivyo hitilafu ya kimitambo ilitokea katika baadhi ya vituo vya kupigia kura