Skip to main content
Skip to main content

UDA yatinga ushindi kwa viti vyote vinne katika uchaguzi mdogo

  • | Citizen TV
    3,111 views
    Duration: 2:21
    Chama cha UDA kimetawala katika chaguzi ndogo ziliozofanyika Alhamisi, kwa kupata viti vyote vinne vilivyokuwa vikiwaniwa. Katibu mkuu wa chama hicho, Hassan Omar, amesema kuwa ushindi huo unaonyesha ubabe wa chama hicho mashinani na kueleza imani ya wapiga kura kwa Rais William Ruto