27 Feb 2026 10:11 am | Citizen TV 2,788 views Duration: 1:30 Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imemtangaza Duncan Muratia Nyaga na Peterson Njeru kuwa washindi wa uchaguzi mdogo wa wadi za Evurore na Muminji mtawalia katika eneobunge la Nbeere North kaunti ya Embu .