Skip to main content
Skip to main content

Udhibiti wa malisho ya mifugo waleta manufaa Samburu

  • | Citizen TV
    285 views
    Duration: 7:01
    Wafugaji katika kaunti ya Samburu wanalisha mifugo wao kwa njia iliyodhibitiwa ili kutunza maeneo ya malisho. Wakazi wanatumia ngo'mbe kupasuapasua samadi kwa kwato ili nyasi zikue upesi wakati wa mvua. Juhudi hizi za wafugaji pia zimeokoa aina ya nyani ajulikanaye kama De brezza na ambaye yuko katika hatari ya kuangamia.