Udhibiti wa Tumbaku Busia

  • | Citizen TV
    116 views

    Shirika la kudhibiti matumizi ya bidhaa za tumbaku nchini limeunga mkono pendekezo la mamlaka ya NACADA la kuongeza umri wa kuanza kunywa pombe kutoka miaka 18 hadi miaka 21, wakitoa wito wa utekelezwaji wa sheria hizo vile vile kwa bidhaa za Tumbaku na Nikotini