Udongo wa zaidi ya ekari moja ulianguka na kusababisha maafa eneo la Kimende

  • | TV 47
    150 views

    Zaidi ya watu watatu wanakisiwa kufunikwa na vifusi Kimende.

    Wanaaminika kuwa walikuwa wakielekea nyumbani.

    Udongo wa zaidi ya ekari moja ulianguka na kufunga barabara.

    Gavana wa Kiambu Kimani Wamatangi amewataka watu kukaa mbali.

    Shughuli za uopoaji zimeanza eneo hilo.

    #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __