Ufadhili wa MasterCard Foundation kwa wakimbizi:

  • | VOA Swahili
    Mwaka 2020, Taasisi ya Mastercard ikishirikiana na USIU-Afri,ka walizindua program ya Taasisi ya Mastercard kwa ajili ya wanafunzi katika USIU – Afrika. Program iko wazi kwa wakimbizi kutoka nchi mbali mbali kote duniani