Ufadhili wa wanafunzi vyuoni

  • | Citizen TV
    109 views

    Katibu wa elimu ya juu na utafiti Dkt. Beatrice Inyangala anasema kuwa baadhi ya maafisa wa serikali wameghushi habari kuhusu wanafunzi na kusababisha mtafaruku kuhusu ufadhili wa wanafunzi wa vyuo vikuu.