Ufahamu ugonjwa wa Marburg

  • | BBC Swahili
    399 views
    Ufahamu kwa undani ugonjwa wa Marburg, ulioua takribribani watu watano nchini Tanzania Je unafahamu kuwa virusi vya ugonjwa huu vinaweza kubebwa na wanyama kama vile popo, nyani na nguruwe, na wanaume kupitia mbegu zao za kiume. Mwandishi wa BBC @frankmavura ametuandalia maelezo kwa kina #bbcswahili #tanzania #marburg