Skip to main content
Skip to main content

Ufisadi bungeni wazua taharuki | Ruto na Raila watoa kauli kali

  • | Citizen TV
    17,890 views
    Duration: 3:11
    RAIS WILLIAM RUTO SASA ANASEMA WABUNGE WANAOHUSIKA NA UFISADI NA KULA MLUNGULA WATAKAMATWA. RAIS PIA AKIFICHUA KUWA MASENETA HUDAI HADI SHILINGI MILIONI 150 KUTOKA KWA MAGAVANA WANAPOFIKA MBELE YA SENETI KUHOJIWA. naye, KINARA WA ODM RAILA ODINGA AMESEMA UFISADI BUNGENI UMEIBUA WASIWASI