Ufisadi wa mali ya umma

  • | Citizen TV
    3,005 views

    Mkurugenzi mkuu wa zamani wa halmashauri ya makavazi nchini mzalendo kibunjia ni miongoni mwa maafisa wa serikali wanaotarajiwa kushtakiwa na kupotea kwa shilingi milioni 490 zilizolipwa wafanyakazi hewa. Tume ya kupambana na ufisadi EACC inasema kuwa, halmashauri ya makazi iliwaajiri wafanyakazi hewa 105 waliopokea mshahara na hata mikopo. Na kama Brenda Wanga anavyoarifu, EACC pia imependekeza kushtakiwa kwa mkurugenzi mkuu wa shirika la nyumba nchini kwa kudai malipo zaidi