Ufugaji wa samaki eneo la Mlima Kenya

  • | K24 Video
    256 views

    Kwa kawaida unapotaja ufugaji wa samaki au uvuvi, wengunti zinazopakana na bahari au maziwa na mito. Hatahivyo kadri miaka inavyosonga, haja ya kuwa na njia mbadala za kitegauchumi imekuwa dhahiri. Wakulima eneo la mlima Kenya na hasa wale ambao wamefaulu na kilimo cha majani chai, kahawa na ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, wanachukulia ufugaji samaki kama njia mbadala ya kujipatia mapato. Ufugaji huo umeanza kutekelezwa katika shule za msingi, ili kuwaonyesha wanafunzi njia mbadala za kuweza kujikimu kimaisha watakapotoka vyuoni. Wataanza kufikiria maeneo ya Nyanza au Pwani hasa ka