Ufugaji wa samaki katika ukanda wa Pwani

  • | K24 Video
    51 views

    Jamii zinazoishi kando kando ya mito, maziwa na bahari zinaweza kuimarisha maisha yazo endapo zitakumbatia uchumi wa samawati yaani ‘blue economy.’ Jamii moja katika eneo la kibokoni katika kaunti ya Kilifi, iliacha ukataji wa mikoko na uharibifu wa mazingira, na kukumbatia ufugaji samaki ili kujimudu kimaisha.