Ufukara, muundo msingi duni na ukosefu wa nidhamu ni changamoto kuu katika elimu, Malindi

  • | KBC Video
    Wadau wa elimu katika tarafa ya Langobaya eneo la Malindi wametaja ufukara, muundo msingi duni shuleni, ukosefu wa nidhamu na walimu kuwa chanzo cha matokeo mabaya kwenye mitihani ya kitaifa katika shule za eneo hilo. Wadau hao wakiongozwa na naibu kamishna wa eneo la Malindi, Daniel Ntausi walielezea matumaini kuwa hali hiyo itabadilika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News