Ufurushaji wa Maasai | Makundi ya kutetea haki ya beza Tanzania

  • | KBC Video
    12 views

    Siku chache baada ya mahakama ya kanda ya Afrika Mashariki kupitisha uamuzi kwamba uamuzi wa Tanzania wa kuzingira kwa ua ardhi ili kuwalinda wanyama pori ni halali,makundi kadhaa ya kutetea haki za binadamu yamekosoa uamuzi huo yakisema ni mfano mbaya ambao huenda ukachangia kufurushwa kwa watu kutoka kwenye ardhi zao.Kundi la kiasili la jamii ya Maasai limeishutumu serikali ya Tanzania kwa kujaribu kuwafurusha kutoka kwenye ardhi ya mababu wao ili kuanzisha hifadhi ya wanyama pori.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ardhi #News #maasai #tanzania