Uganda imeweka hai matumaini ya kufuzu robo fainali

  • | Citizen TV
    284 views

    Waandalizi wenza wa mchuano wa chan Uganda, wamekwea kileleni mwa kundi c kufuatia ushindi wa mbili bila dhidi ya Niger uwanjani mandela jijini Kampala usiku wa jana.