Ugatuzi wapigwa jeki | Ruto atia saini miswada ya kukuza ugatuzi

  • | Citizen TV
    1,032 views

    HAYA YAKIJIRI, UGATUZI UMEPIGWA JEKI BAADA YA RAIS WILLIAM RUTO KUTHIBITISHA KUKAMILISHWA KWA UHAMISHO WA BAADHI YA MAJUKUMU YA KAUNTI KUTOKA KWA SERIKALI KUU. AIDHA, KWENYE SIKU YA PILI YA KONGAMANO LA UGATUZI LINALOENDELEA KAUNTI YA HOMA BAY, RAIS AMETIA SAINI KUWA SHERIA MISWADA INAYOTOA NGUVU ZAIDI KWA MAGATUZI, UKIWEMO ULE AMBAO SASA UNATOA UHURU WA MABUNGE HAYA KUJISIMAMIA