- 2,276 viewsDuration: 43sFamilia moja kutoka kijiji cha Leldaet kaunti ya Bomet inakabiliwa na dhiki kubwa ikijaribu kutafuta ufahamu wa ugonjwa usioeleweka ambao umewalemaza watoto watatu. Inaarifiwa kuwa waathiriwa walianza kuwa na tabia zisizo za kawaida baada ya kuzaliwa. Baba ya watoto hao anasema kuwa amehangaika katika hospitali nyingi ila madaktari hawajapata suluhu ya kudumu. Waathiriwa hao wanapitia chamgamoto si haba kama vile unyanyapaa kutoka kwa jamii. Familia hiyo sasa inaomba idara ya walemavu kuwasaidia ili kutambua ugonjwa huo na kuwasaidia.