Ugonjwa usiojulikana waendelea kuwathiri wanafunzi katika shule ya Upili ya wasichana ya Eregi

  • | TV 47
    70 views

    Idadi ya wanafunzi ambao wameathirika na ugonjwa ambao haujatambulika katika shule ya upili ya wasichana ya Eregi imefika 95. Hii ni baada ya wanafunzi wengine zaidi kukimbizwa hospitalini humo asubuhi ya leo.maafisa wa afya tayari wamechukua sampuli za wanafunzi walioathirika, na kuzituma kwa taasisi ya utafiti wa matibabu nchini kemri ,ili kubaini ugonjwa huo ambao unaathiri viungo vya wanafuzni wengi wakishindwa kutembea. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __