Ugonjwa wa Kalaazar waathiri wanafunzi Pokot Magharibi

  • | KBC Video
    13 views

    Ugonjwa wa Kalaazar unaofahamika kwa jina jingine, Visceral Leishmaniasis umebainika kuwa moja ya magonjwa ya kitropiki katika maeneo kame ya Pokot Magharibi unaoathiri wanafunzi wengi bila kutambulika. Ugonjwa huo unaosababishwa na vimelea vya Protozoa umeathiri masomo ya wanafunzi wengi katika sehemu hiyo. Kutokana na hali hiyo, makundi kadhaa sasa yanatoa wito wa kuimarishwa kwa uhamasisho, kuhakikisha kuwa masomo ya watoto katika eneo hilo hayatatizwi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive