Wanaougua Kifua Kikuu kerio valley walazimika kwenda mbali

  • | Citizen TV
    104 views

    Kwa miaka mingi, serikali imekuwa ikiendesha kampeni kukabliana na ugonjwa wa kifua kikuu. Lakini licha ya juhudi hizi za jadi, ugonjwa wa kifua kikuu bado umeendelea kuathiri wakaazi katika vijiji kadhaa bonde la Kerio.