Ugonjwa wa mifugo usiojulikana wasababisha hasara katika kaunti ya Busia

  • | West TV
    109 views
    Wafugaji wa ng’ombe katika eneo bunge la Butula kaunti ya Busia wanahofia kupoteza mifugo wao kutokana na ugonjwa usiojulikana unaowaangamiza ng’ombe, baadhi ya wakulima wakilazimika kuwauza ili kuepuka hasara kwani tayari ng’ombe kadhaa wameangamia.